LOGO BUREEE!
Pata Logo kwa ajili ya Biashara yako BUREEE!!! Natengeneza aina zote za Logo Kulingana na Mahitaji yako na mahitaji ya biashara yako. Kama ulikua hujui LOGO yenye mvuto na inayosomeka vizuri na rangi nzuri ina uwezo mkubwa wa kuvutia wateja na kutambulisha ubora na utofauti wa bidhaa au huduma unazotoa.
Huduma Nyingine za muhimu Utakazozipata
1. Kudesign Business Card yenye mvuto na Mwonekano Mzuri
2. Kusajili Jina la Biashara na Kampuni
3. Kuandaliwa MEMART (Memorandum and Article of Association)
4. Kukufungulia Account BRELA
5. Kuandika CV za kisasa aina zote
6. Kuandika CONTENT kwenye social media
7. Kudesign POST za instagram, facebook, twitter n.k
8. Ku-edit video fupi za matangazo
9. Social media Marketing na Branding
10. Kudesign Posters na fliers
11. Kutengeneza thumbnail za YOUTUBE
12. Na Graphics zote kwa Ujumla
Ni muda wa ku-Brand Biashara yako, ni muda wa kuongeza wateja kidigitali, ni muda wa kuanzisha biashara usisubiri upate kila kitu, anza leo.
MAWASILIANO:
Email: Ambitplus@gmail.com
Whatsapp: +255742751265
IT'S NEVER TOO LATE TO START
(c) Ambition Plus Consulting
Comments
Post a Comment