BONYEZA HAPA AMBITION PLUS CHANNEL
USAJILI WA BIASHARA Mamlaka ya Usajili wa Biashara na Utoaji Leseni BRELA ilianzisha mfumo mpya wa usajili wa Biashara (Jina la Biashara na Kampuni) unaoitwa ORS yaani Online Registration Sytem. Huu ni mfumo unaokuwezesha kusajili Jina la Biasahara au Kampuni kwa njia ya mtandao ukiwa popote katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tofauti kati ya JINA LA BIASHARA na KAMPUNI Jina la biashara ni jina unaloipa biashara yako kwa ajili ya kuitambulisha biashara kwa wateja wako. Jina la biashara ni sehemu muhimu ambayo inagusa hisia za mteja deep down, jaribu kufikiria ukisikia jiana "Apple" ni nini kinakuja kwenye kichwa na moyo wako? Vipi kuhusu "Dangote"? au "Gucci"?. Utagundua majina haya ya biashara huwa mara nyingi ni mafupi yameambatana na Logo na chini yake kauli mbiu ya biashara. Unawezaje kuchagua jina sahihi la Biashara yako? Kitu cha kwanza ni kuchagua jina ambalo linawakilisha au lina uhusiano mkubwa na huduma au biashara unayofanya mfano jina ...
Comments
Post a Comment