Skip to main content

JINSI YA KUANDIKA CV



CV inatakiwa kuwa HIVI Nimebahatika kuwa mmoja wa watu wanaopitia CV za watu wengi sana, waliopo kwenye ajira na wasio kwenye ajira. Nilichokigundua kuna upungufu mkubwa sana wa taarifa zinazoandikwa na watu husika kwenye CV zao hali inayopelekea watu hao washindwe kuwa short listed kwa ajili ya interview. Na kingine kibaya zaidi kuna watu wako vzr sana kwa interview kuliko wanavyoweza kupresent wasifu wao kwa karatasi, ila oia kuna wengine wanaandika vzr sana kuliko kutetea walichokiandika. Asilimia kubwa watu huandika mambo yasiyo ya msingi kwenye CV wakidhani ndio hayo yanahitajika. Mfano, unakuta mtu anaandika taarifa zake za amezaliwa wapi, ana miaka mingapi, hali yake ya ndoa, dini, hobbies, language proficiency level etc of which sio necesary kuwepo kwenyw CV unless muajiri anataka uinclude hivyo vitu. Na mostly hivi vitu huwa vinakuwa tittled kama PERSONAL INFORMATION. Leo naomba nishee kidogo some tips kwenye CV zinazoweza kukuuza vzr kwa mwajiri yoyote yule anayetafuta mtu. Na huu ni ushauri wqngu, sio sheria. Ukiona unakufaa ufanyie kazi, ila pia usipokufaa basi isiwe shida wakuu. 1. CV yako iwe headed na jina lako contacts informations. 2. PROFILE Hii sehemu andika maneno machache ambayo yatampa mtu kukujua wew ji mtu wa aina gani profesionally hata kama hajakuona. Haihitaji maneno mengi sana ila at least mtu akisoma aone vitu vinavyokutambulisha vema kutokana na kada yako husika. Hii stage iwe inamuimpreaa msomaji atamani kuimaliza Cv yako yote. 3. HIGHLIGHT YOUR MAJOR ACHIEVEMENTS Waajiri wengi wanapenda kuona kuwa huyo mtu wanaemuajiri at least ameshawah achieve kitu gani. Kwa upande wa pili eneo hili linatoa picha kuwa wewe sio mtu wa business as usual, bali ni mtu amabye unaweza ku-initiate jambo na ukalikamilisha. Hapa chagua zile achievements strong.... 4. HIGHLIGHT YOUR KEY SKILLS Muonyeshe muajiri kuwa una skills gani...at least skills tano. Hapa watu huwa wanachanganya sana. Mfano mtu anaandika ana posses i) communication skills ii) listening skills iii) writing skills iv) speaking skills v) Leadership skills My friend hapo namba moja mpaka nne umeongea kitu kimoja tu communication skills, na hyo leadership at least ndo inakuja kuwa ni skill nyingine. Tujiangalie hapa wandugu, tunarudia rudia sana mambo 5. WORKING EXPERIENCE Hapa mwajiri anapenda kuona uliwahi kufanya kazi wapi na ulifanya roles gani. Huwa inapendeza at least kwa kila nafasi uliyowahi fanya uelezee na some key roles,......please understand kuwa ni some key roles na sio kushusha job description yako nzima ati. Andika mwaka ulioanza na ulioacha hiyo kazi yako. Anza na the most recent position you have please then unashuka to the oldest. 6. TRAINING AND WORKSHOPS Hapa muonyeshe muajiri/mteja wako kuwa your profile, achievememts and skills imechangiwa na some training ambazo utazianisha hapo. Na kama haujawah kufanyiwa training basi isiwe taabu...sio lazima uoneshe. Ila jenga tabia ya ku note down training yoyote unayo-attend hasa inayohusiana na maendeleo ya career yako, ikibidi uiweke kwenye CV kabisa ili usisahau 7. EDUCATION BACKGROUND Asilimia kubwa waajiri wengi are not interested with what you have studied, zaidi wanataka kuona uwezo wako sana, hii ni moja. Mbili mara nyingi vitu tulivyosoma huwa vinaleta impreaaion mbaya kwa waajiri hali inayopelkea tusiwe short listed kwa sababu inaweza kuwa hakiendani na kazi unayoomba. Mfano mtu umesoma International Relations na bahati nzuri ukawa exposed kwenye NGOs na uka specialize kwenye CHILD PROTECTION au GENDER. Sasa ikitokea waajiri wametaka CHILD PROTECTION SPECIALIST au GENDER SPECIALIST na wakasema walau mtu awe amesoma SOCIOLOGY, GENDER, COMMUNITY DEVELOPMENT au any SOCIAL SCIENCES.....tafadhali usijichanganye kuanza kuweka elimu yako ya International Relation huko juu, hakika hautachaguliwa. Vema sana ukaeleza how good you are in child protection au gender, ili hata wakija kukuta umesoma siasa za kimataifa basi iwaimpress kuwa japo haujasomea gender pasee ila ndani ya muda wa miaka kadhaa umeweza kukomaa ukawa mtaalamu wa gender au Child protection. Hii ina add value sana. Please anza na the highest level of your education to the lowest. 8. HIGHLIGHT YOUR VIRTUAL SKILLS (SIO LAZIMA) kama computer proficienc kwemye applications, ila kama una posses may be driving skills na takataka nyingine pia waweza kuandika hapa inategemea muajiri ametaka mtu gani. 9. REFEREES Hapa andika professional referees wako angalau wawili au watatu. Mmoja kati ya hao akiwa ni your previous employer au superviso inaluwa tulivu sana. Tafadhali baba yako au ndugu yako wa aina yoyote ile hawezi kuwa refarii wako.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kusajili Kampuni na Jina la Biashara BRELA

USAJILI WA BIASHARA Mamlaka ya Usajili wa Biashara na Utoaji Leseni BRELA ilianzisha mfumo mpya wa usajili wa Biashara (Jina la Biashara na Kampuni) unaoitwa ORS yaani Online Registration Sytem. Huu ni mfumo unaokuwezesha kusajili Jina la Biasahara  au Kampuni kwa njia ya mtandao ukiwa popote katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tofauti kati ya JINA LA BIASHARA na KAMPUNI Jina la biashara ni jina unaloipa biashara yako kwa ajili ya kuitambulisha biashara kwa wateja wako. Jina la biashara ni sehemu muhimu ambayo inagusa hisia za mteja deep down, jaribu kufikiria ukisikia jiana "Apple" ni nini kinakuja kwenye kichwa na moyo wako? Vipi kuhusu "Dangote"? au "Gucci"?. Utagundua majina haya ya biashara huwa mara nyingi ni mafupi yameambatana na Logo na chini yake kauli mbiu ya biashara. Unawezaje kuchagua jina sahihi la Biashara yako? Kitu cha kwanza ni kuchagua jina ambalo linawakilisha au lina uhusiano mkubwa na huduma au biashara unayofanya mfano jina ...

NILIANZA NA MTAJI WA LAKI MOJA NIKAANZA KUINGIZA MILIONI MOJA KILA BAADA...

Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi kwa ku avoid makosa yangu niliyofanya. Cha kuzingatia kingine ni kwamba sifundishi mtu kutajirika wala kuwa na pesa nyingi hadi mwenyewe hutojua wapi pa kuziweka, nitachokua naelezea ni njia za wewe kujikwamua kutoka kwenye shida, kutohofia tena wapi hela za chakula, hela za kodi wala za mahitaji yako yote mengine ambayo ni ya muhimu zinapatikanaje. Naamini ukiweza ku solve mahitaji kama haya na uwe na milioni kadhaa benki kama savings, mtu anaweza aka focus kufanya mambo makubwa zaidi. Kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2014 nilianza ku experiment na kuagiza vitu kutoka China, nimekutana na malalamiko mengi ya watu kwenye research yangu kabla sijaanza, watu wanalalamika kuwa wanaibiwa mizigo yao h...

Nafasi 68 za Kazi Rinsen Consultancy

New Jobs at Rinsen Consultancy | Ajira mpya 2020 1. Position:  Cabin Crews ( 32 positions ) Organization:  Rinsten Consultancy Co. LTD Reports to : Head Of Operations Scope of Work As a Cabin Crew with our Client, you will be part of an airline that has won more than 100international awards for excellence, awards that say that they are the best. You will be based in either one of the following Cities; DAR ES SALAAM, DODOMA, MOMBASA, NAIROBI, MWANZA, KISUMU, ELDORET, MBEYA, ENTEBE, KAMPALA, KILIMANJARO( KIA ), MTWARA & BUKOBA. Reccomended: P ATA LOGO YA BIASHARA YAKO BURE HAPA Our Client operates one of the latest wide-bodied Boeing and Airbus aircrafts to a constantly growing network of key cities on every continent. You will enjoy high standard apartments, full medical care and state-of-the-art facilities in training and at work. Our Client gives a lot but asks a lot, too. Cabin Crews need to be dynamic and passionate about being the best; innovative and tireless in s...